Utabiri: Yanga itafungwa na Azam katika mechi ya ngao ya jamii

Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo.

Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi.

Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga 0-2 Azam. Na matokeo hayo yatawanya Azam Fc kuingia fainali huku wakisubiri mshindi wa Simba Vs Singida.

Poleni sana wana Yanga.
😀 😀 😀 😛
 
Ndugu mtabiri
1691639500474.jpg
 
Wewe kweli ni mtabiri. Maana matokeo yamekuwa kweli 0-2!
 
Back
Top Bottom