Utabiri: Yanga itakuwa Klabu ya Tatu nchini kutumia VAR baada ya Simba SC na Simba Queens

Utabiri: Yanga itakuwa Klabu ya Tatu nchini kutumia VAR baada ya Simba SC na Simba Queens

CAF inaona gharama kutumia VAR katika kila mechi, na imeona ni vyema kwa sasa timu zitakazoingia robo fainali ya Klabu za Afrika ndio ziwe zinacheza huku mitambo ya VAR ikiwa imefungwa. Sioni jitihada za Azam, Namungo, Singida BS kufikia ngazi ya robo fainali ya klabu za CAF.

Tayari Simba SC imeshakuwa klabu ya kwanza nchini kutumia VAR katika mechi zake. Klabu ya pili ikawa ni Simba Queens na ilifanikiwa kufika hadi nusu fainali.

Mchuano umebaki kutafuta klabu ya tatu. Naona walau Yanga itawashinda akina Azam, Namungo, Singida BS, Ihefu, Geita Gold nk katika kutafuta kuwa klabu ya tatu nchini. Lakini hawa wanaume wakizubaa, ipo JKT Queens inaweza ikawapiku.
Always SIMBA comes first.. Jasiri muongoza njia
acb47b746641084001d3658d46410f3d.jpg
 
Ndiyo maana kuna nguvu kubwa ya kuipiga vita Simba sasa hivi. Wanatamani sana kupindua meza waende wao, ndiyo maana anakuuliza kuna list imeshatangazwa? Siwaamini kabisa waswahili hawa.
Hakuna tofauti kati ya Super League na kombe la mapinduzi
 
furaha ni furaha tu, Kama umezidiwa Jambo na mpinzani kubali na ujipange, sio kuangalia faida. Kwan wewe Yanga ikichukua ubingwa shirikisho unapata faida gan? utaingia kwenye mgao wa hela? Yanga ikichukua kombe kuna salary yako inapanda? Ustake kujaj furaha ya mwenzio
Another Mbumbumbu on fleek
 
Back
Top Bottom