Utabiri Yanga kuchukua kombe la shirikisho mwaka huu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.

Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.

Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly.

Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly

Mamelodi ndiye bingwa mpya wa champion ligue

Super cup ni yanga vs mamelodi!!.
 
Simba atatoka morocco na fainal
Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Experence de tunis vs Al Ahly.

watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly

Mamelodi ndiye bingwa mpya wa champion ligue

Super cup ni yanga vs mamelodi!!.
Mimi ni nani hata nipinge

Naunga mkono hoja
 
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.

Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.

Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly.

Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly

Mamelodi ndiye bingwa mpya wa champion ligue

Super cup ni yanga vs mamelodi!!.
Kila Kitu inawezekana Lakin acha niweke hakiba ya maneno ila kwenye mpira kamwe usimchukulie wenzio kirahis
 
Hongereni Yanga kwa ubingwa wa CAFCC
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.

Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.

Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly.

Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly

Mamelodi ndiye bingwa mpya wa champion ligue

Super cup ni yanga vs mamelodi!!.
 
Wacha tuone mwisho wake
Maana wanakwenda km hawaendi nusu fainali lkn ndio wanakwenda
 
Back
Top Bottom