UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.
Sawa
20240225_003216.jpg
 
Mtoa mada huko aliko anatamani Mods waifute hii takataka yake. Ila ndiyo hivyo tena! Haiwezekani.
 
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.

Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka klabu ya yanga haitaambulia chochote.
Washamba mpo wengi Sana.
 
Back
Top Bottom