Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Al Hilal ni timu ya kawaida sana
Hata Yanga ni timu ya kawaidaAl Hilal ni timu ya kawaida sana
Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini.
Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo.
Msisime sikuwaambia.
Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo.
Mkuu nimeweka dau,kama unajiamini ingia katiAl Hilal ni timu ya kawaida sana
Hongereni Yanga...Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini.
Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo.
Msisime sikuwaambia.
Tena yakawaida mno!Hata Yanga ni timu ya kawaida
Hakuna mtu mbad anayecheza Sudan mkuu. Kama angekuwa anajua zaid angekuwa Barcelona au Manchester City hukooooo.
Ujue lakini ni Sudan, sio Sudan Kusini. Yaani namaanisha Sudan ambako kocha Nabi alitimuliwa kaziHakuna mtu mbad anayecheza Sudan mkuu. Kama angekuwa anajua zaid angekuwa Barcelona au Manchester City hukooooo.
Ogopa matapeli
Huyu ni Mugallu anayecheza Sudan.
Dah!! Kwahiyo Yanga siyo ya kawaida? Hii nchi ni ngumu sanaAl Hilal ni timu ya kawaida sana
Sidhani kama amekuelewa.Ujue lakini ni Sudan, sio Sudan Kusini. Yaani namaanisha Sudan ambako kocha Nabi alitimuliwa kazi
Uchezaji wake kama kisinda tu