UTABIRI: yatayozungumzwa na JPM kesho tar 1May 2019 siku ya Wafanyakazi

Kipaumbele cha Serikal kwa hivisasa ni
Kutengeneza Miundombinu mbali mbali na vile vile Kufanya Saving kwa Ajili ya Chaguz zilizo mbele yetu.
Hivyo Wafanyakaz naomba mnivumilie kidogo hakika Mambo yatakuwa Mazur hapo baadae..
 
Kipaumbele cha Serikal kwa hivisasa ni
Kutengeneza Miundombinu mbali mbali na vile vile Kufanya Saving kwa Ajili ya Chaguz zilizo mbele yetu.
Hivyo Wafanyakaz naomba mnivumilie kidogo hakika Mambo yatakuwa Mazur hapo baadae..
bleeding word
 
Hotuba itakuwa hivi,hii nchi ilikuwa inaliwa sana.Wafanyakazi hewa,mtu ana majina yake. Tumekamata wafanyakazi hewa selasini na mbili elfu.
Kulikuwa na majina fake ya mikopo yaani hii nchi ilikuwa imeoza.
Sasa baada ya kusafisha ndo tumeajiri walimu,manesi na sector zingine pia.
Kwa vile tumesafisha sasa ndo tutapandisha madaraja wafanyakazi na kuongeza mishahara.......
 
Atagusia tume ya Mishahara atajifanya anaisubiria imalize kazi yake afanye maamuzi kumbe zuga tuu!
 
Kipaumbele cha Serikal kwa hivisasa ni
Kutengeneza Miundombinu mbali mbali na vile vile Kufanya Saving kwa Ajili ya Chaguz zilizo mbele yetu.
Hivyo Wafanyakaz naomba mnivumilie kidogo hakika Mambo yatakuwa Mazur hapo baadae..
Hiyo miundombinu inasimamiwa na wafanyajazi wenye njaa? Wenye frastration za madeni wanayodai serekali?
Wenye kukaa miaka 7 bila kupanda cheo?
 
My chair has hollow....inside.....

yeye anagawa tu hela barabarani
 
.......mwisho kabisa atajitokeza mama mmoja mwenye bango kubwa akilia kama mtoto kwa kudai kuwa aliachishwa kazi bila kulipwa.....halafu yeye mkuu atatoa solution.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ajabu wakatokea wafanyakazi wenye mabango kuwa walilawitiwa na mabosi wao!
 
Nimeambiwa kuna watu wanataka kuunga juhudi zangu, wako wapi sasa. Waje mbele haraka, sauti inasikika ( hawa hapa mheshimiwa) wote wamevaa magauni mapya ya kijani ili kudhihirisha kuwa hawakuwahi kuwa nayo b4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…