KINGSLEE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 830
- 1,046
Kipaumbele cha Serikal kwa hivisasa niKesho ni siku ya wafanyakazi Duniani na mgeni rasmi ni ráis JPM mkoani mbeya,tutabiri yatayozungumzwa .
--Uhakiki umebaki na ukimalizika ataongeza mshahara kweli kweli tumpe muda.
--Mishahara hewa bado ipo na anapambana nayo ili akiongeza aongeze pakubwa.
- Tume ya mishahara inamalizia kazi yake na ikimaliza atafuata mapendekezo yake ya usawa wa mishahara.
-Ajira mpya atajikita kwenye kichaka cha waalimu elfu 4 ma watumishi wa afya mia kadhaa
----kupandisha mshahara NEVER Labda vyeo na madaraja maana anajua atapandisha wachache tofauti na mishahara ingehusu wafanyakazi wote
-NB
Atakwepa suala la kupunguza mishahara minono serekalini na kuongezea wenye mishahara midogo.
Suala ni wafanya kazi ila lazima achomeke Ndege, SGR, na strigle gorge
Tuendelee na utabiri........
Kutengeneza Miundombinu mbali mbali na vile vile Kufanya Saving kwa Ajili ya Chaguz zilizo mbele yetu.
Hivyo Wafanyakaz naomba mnivumilie kidogo hakika Mambo yatakuwa Mazur hapo baadae..