UTABIRI: yatayozungumzwa na JPM kesho tar 1May 2019 siku ya Wafanyakazi

Msikilize Msemaji Mkuu wa Serikali ndio utajua nini kitakachojiri kesho[emoji116][emoji116] Take a look at @TZMsemajiMkuu's Tweet:
 
Hahahahhh nimecheka kingeseee[emoji81][emoji81][emoji81]
Nimeambiwa kuna watu wanataka kuunga juhudi zangu, wako wapi sasa. Waje mbele haraka, sauti inasikika ( hawa hapa mheshimiwa) wote wamevaa magauni mapya ya kijani ili kudhihirisha kuwa hawakuwahi kuwa nayo b4
 
Kaazi kweli kweli! Mambo ni mengi, muda mchache. Ngoja nitengeneze mkeka nimtafute mhindi muda usonge
 
Hivi ile tume haina time frem mana yake inaweza fanya kazi hata miaka 60 ndo itoe majibu
 
TAMTHILIYA LEO ITAKUWEPO?

Igizo la mama kudhurumiwa na mwajiri wake na Kisha atachangiwa mamilioni msisahau kulitizsma
 
Mvua zingenyesha mbea upuuzi huo usifanyike
 
Hivi ile tume haina time frem mana yake inaweza fanya kazi hata miaka 60 ndo itoe majibu
Ni project ya mkulu kisiasa! Kuua kiki au harakati za wafanyakazi kudai maslahi Ulishawahi kusikia tume ya Maziwa inafanya kazi gani?
 
Wote mko sahihi, hakuna jipya kwenye hotuba zake, mimi nitakuwa natazama series ya Tom & Jerry
 
Jiwe ana roho ngumu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…