SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Msikilize Msemaji Mkuu wa Serikali ndio utajua nini kitakachojiri kesho[emoji116][emoji116]
Take a look at @TZMsemajiMkuu's Tweet:Kesho ni siku ya wafanyakazi Duniani na mgeni rasmi ni ráis JPM mkoani mbeya,tutabiri yatayozungumzwa .
--Uhakiki umebaki na ukimalizika ataongeza mshahara kweli kweli tumpe muda.
--Mishahara hewa bado ipo na anapambana nayo ili akiongeza aongeze pakubwa.
- Tume ya mishahara inamalizia kazi yake na ikimaliza atafuata mapendekezo yake ya usawa wa mishahara.
-Ajira mpya atajikita kwenye kichaka cha waalimu elfu 4 ma watumishi wa afya mia kadhaa
----kupandisha mshahara NEVER Labda vyeo na madaraja maana anajua atapandisha wachache tofauti na mishahara ingehusu wafanyakazi wote
-NB
Atakwepa suala la kupunguza mishahara minono serekalini na kuongezea wenye mishahara midogo.
Suala ni wafanya kazi ila lazima achomeke Ndege, SGR, na strigle gorge
Tuendelee na utabiri........