Utabiri, Zari kuhamia na kuishi bongo

Utabiri, Zari kuhamia na kuishi bongo

Tuna manenoooo.
Wabongo nimewavulia kofia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zari akipata zile Mali za Ivani zote .....dai atakoma kuringa.
Kwanza asipoajiriwa na boss lady sijui.
Dai ana mapungufu yake km binadamu ila kw upande mwngne naweza sema Dai ni wa kiume haswaa....the way alivyofanikiwa kuishi na the boss lady. Dai mtt wa uswazini ila leo hii ni millionaire, anajua kutafuta mpunga, ni mjanja saana na ictoshe yy kuwa na lady haimwongezei kitu coz amekuwa na maisha b4 na kw udogo wa family yake, pesa alonayo inamtosha kuendesha maisha. Me nahc km Zari ndo kadata na mnyamwezi Dai, japo weng wanahc tofauti!
 
54d3d08f38b87bc4f5e4e421e3d30982.jpg
 
Kuna mhuni mmoja aliwahi kujiapiza kua hawezi kuoa mwanamke aliezaa tayari na mtu mwingine...[emoji23][emoji23] duh nawaza tu unapomshuhudia mkeo unaeuza nae nyago akiwa katika sura nyingine kwa mwanaume mwingine wa familia tofauti na wewe alafu anatangazwa kua ni mke wa marehemu heeeee heeeee ukifa na sarafu lazima uzikwe kwa figisu dizani watu wanatamani wamfukie mwana mapema ili wanyukane rasmi uwepo wake kwenye jokufu unawafanya waone aibu kunyukana.
 
Diamond aandike Wosia mapema asee, na ashaambiwa mtoto wa mwisho sio wake!
 
Back
Top Bottom