Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mm nataka
Chezea ugali wako na pilipili yako,sio m-bongo aisee. Hii kasi ya majungu tungeiweka kwenye maendeleo,tunhekuwa mbali mnooTuna manenoooo.
Wabongo nimewavulia kofia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dai ana mapungufu yake km binadamu ila kw upande mwngne naweza sema Dai ni wa kiume haswaa....the way alivyofanikiwa kuishi na the boss lady. Dai mtt wa uswazini ila leo hii ni millionaire, anajua kutafuta mpunga, ni mjanja saana na ictoshe yy kuwa na lady haimwongezei kitu coz amekuwa na maisha b4 na kw udogo wa family yake, pesa alonayo inamtosha kuendesha maisha. Me nahc km Zari ndo kadata na mnyamwezi Dai, japo weng wanahc tofauti!Zari akipata zile Mali za Ivani zote .....dai atakoma kuringa.
Kwanza asipoajiriwa na boss lady sijui.
Utabiri huo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Chezea ugali wako na pilipili yako,sio m-bongo aisee. Hii kasi ya majungu tungeiweka kwenye maendeleo,tunhekuwa mbali mnoo
Afu jina lako nalifananishaga na Sky Eclat, kidogo nikastuka nikidhani yeyewabongo mlivyoukomalia huu msiba kama vile hamna kazi ya kufanya, hebu fanyeni kazi sasa inatosha!!