Utabiri: Zitto kupewa ubalozi wakati wowote

Atakuwa balozi wa tz huko Micronesia yani visiwa vya Tuvalu na Vanuatu akakae huko na usnitch wake
 
Hongera kwa Balozi Mteule wa Tanzania nchini Kuwait, Z.Z.K.
 
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
Aliambiwa achana na hayo utakufa masikini, watanzania hawajitambui na hawahitaji kutetewa.
 
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
Amechoka sana zitto cku hizi yawezekana.
 
Huu ndio mtazamo wangu kwa saa kuhusu huyu mwanasiasa.

Itachukua muda gani au ni lini atatuellliwa, hio ni swala la muda.

Kupewa cheo serikalini pia inawezekana, lakini hili naliona sio rahisi labda ujumbe wa bodi kwenye mashirika ya umma.

Muda utathibitisha.
utabiri chonganishi 🐒
 
Back
Top Bottom