Canada kwa sababu kwanza hakuna ubaguzi mkubwa kati ya mweusi na mweupe, urahisi wa maishabkati ya nchi hizi tatu Canada ni rahisi, population ndogo nchi kubwa hivyo program za uhamiaji ni rafiki kuliko USA na Australia.
Wacanada wana ustaarabu fulani hasa kutokana na wengi kuwa wahamiaji kutika nchi nyingi duniani ingawa inafuata majimbo, kama unaongea kifaransa nenda Quebec, kingereza Ontario nk. Huwezi kulala njaa kutokana na program za kusaidia wasiojiweza.
Pia ada za shule hasa vyuo ni poa kuliko USA na Australia. Nimeishi miaka 3 pia nina mtoto raia huko.
Sent using
Jamii Forums mobile app