Utachagua kuishi wapi kati ya Marekani, Canada na Australia?

Utachagua kuishi wapi kati ya Marekani, Canada na Australia?

ndugu mwanzisha thread, nikipewa hyo nafasi, ntaikataaa kwa mikono mi2. naipenda TANZANIA na masaibu yake.
 
Program za uhamiaji ni ngumu sana canada kuliko marekani.pia ubaguzi ni mkubwa kuliko marekani na program ya chakula hata marekani uwa wanatoa food stemp ikiwa huna kazi au kazi yako haikimizi maitaji.

Kuna faida zake kuishi canada na kuna faida kuishi marekani ila marekani kwa mtu mtafutaji ni bora kuliko nchi yeyote.
Australia wana Sheria kali sana kuhusiana na masuala ya Uhamiaji, Sheria ni kali mno, huenda pengine ndio wako strictly zaidi ktk kusimamia Sheria za Uhamiaji. Nchini Australia deportation ya Wahamiaji inafanyika kila siku. Ukikiuka taratibu zao kidogo tu ujue wazi kabisa kwamba deportation inakuhusu, hawataki masihara hata chembe.
 
Canada kwa sababu kwanza hakuna ubaguzi mkubwa kati ya mweusi na mweupe, urahisi wa maishabkati ya nchi hizi tatu Canada ni rahisi, population ndogo nchi kubwa hivyo program za uhamiaji ni rafiki kuliko USA na Australia.

Wacanada wana ustaarabu fulani hasa kutokana na wengi kuwa wahamiaji kutika nchi nyingi duniani ingawa inafuata majimbo, kama unaongea kifaransa nenda Quebec, kingereza Ontario nk. Huwezi kulala njaa kutokana na program za kusaidia wasiojiweza.

Pia ada za shule hasa vyuo ni poa kuliko USA na Australia. Nimeishi miaka 3 pia nina mtoto raia huko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Marekani na Australia umeishi wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom