Utachagua kuishi wapi kati ya Marekani, Canada na Australia?

ndugu mwanzisha thread, nikipewa hyo nafasi, ntaikataaa kwa mikono mi2. naipenda TANZANIA na masaibu yake.
 
Australia wana Sheria kali sana kuhusiana na masuala ya Uhamiaji, Sheria ni kali mno, huenda pengine ndio wako strictly zaidi ktk kusimamia Sheria za Uhamiaji. Nchini Australia deportation ya Wahamiaji inafanyika kila siku. Ukikiuka taratibu zao kidogo tu ujue wazi kabisa kwamba deportation inakuhusu, hawataki masihara hata chembe.
 

Marekani na Australia umeishi wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…