Utachagua kuishi wapi kati ya Marekani, Canada na Australia?

Canada ndio nchi pekee yenye nafasi nyingi za ajira kuliko nchi zote ulizotaja na pia Canada ina minimum wage kubwa kulinganishwa na nchi zote ulizotaja.

Canada is more friendly to immigrants kulizo nchi ulizotaja.

Canada is the place to be kwa Sasa hapa Duniani.

N.k..............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukipewa nafasi ya kuishi katika nchi moja wapo tajwa hapo juu wewe kama mtafutaji unaweza kukimbilia nchi gani?.

Na toa maelezo kwanini unaipenda nchi hiyo.
Nilipewa uchaguzi huo, nikachagua Marekani.

Uchumi mkubwa, nchi kubwa unaweza kuchagua sehemu nyingi za kuishi, utamaduni wa kupokea wageni, kuna watu wa kutoka dunia nzima, viongozi wa sayansi na teknolojia, nafasi za elimu na biashara nyingi etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaenda US wanatafuta njia ya kuingia Canada hlf ww sijui unaongea nn.... Anyway have you ever been in Canada?
Wanaenda Canada kwa ajili ya karatasi wakipata wengi wamerudi USA,kupata karatasi usa ni ngumu
 
Nilipewa uchaguzi huo, nikachagua Marekani.

Uchumi mkubwa, nchi kubwa unaweza kuchagua sehemu nyingi za kuishi, utamaduni wa kupokea wageni, kuna watu wa kutoka dunia nzima, viongozi wa sayansi na teknolojia, nafasi za elimu na biashara nyingi etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
@Kiranga nataka nizamie USA via Tijuana border, niko kwenye mchakato wa awali wa kusecure visa ya Mexico then niingie USA illegaly.

What's your advice senior?

Unafikir kijana wakiafrika anaenda abroad kutafuta nn... Si karatasi au... Hata hivyo pote ni kuhustle kwako tu... Hakuna cha karatasi ngumu wala nn
 
Unafikir kijana wakiafrika anaenda abroad kutafuta nn... Si karatasi au... Hayo hivyo pote ni kuhustle kwako tu... Hakuna cha karatasi ngumu wala nn
Kila mtu na mtazamo wake kwa mimi USA is best place,nimeishi Canada sio kama mnavyoisifia ingia uishi sio usimuliwe na mtu
 
Mambo ya CHATTLE njeoni hamtajuta badae mtajaingia na visa.
 
@Kiranga nataka nizamie USA via Tijuana border, niko kwenye mchakato wa awali wa kusecure visa ya Mexico then niingie USA illegaly.

What's your advice senior?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukushauri uzamie, ukizamia hata kukusaidia zaidi ukifanikiwa kuzamia itakuwa vigumu.

Ukiingia kihalali kuna njia nyingi sana za kusaidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Canada ndio nchi pekee yenye nafasi nyingi za ajira kuliko nchi zote ulizotaja na pia Canada ina minimum wage kubwa kulinganishwa na nchi zote ulizotaja.

Canada is more friendly to immigrants kulizo nchi ulizotaja.

Canada is the place to be kwa Sasa hapa Duniani.

N.k..............

Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo wewe minimum wage canada dollar 14,Australia dollar 19,shida mmeshakariri kwamba Canada kuzuri mtakupamba kwa kila namna
 
Nilipewa uchaguzi huo, nikachagua Marekani.

Uchumi mkubwa, nchi kubwa unaweza kuchagua sehemu nyingi za kuishi, utamaduni wa kupokea wageni, kuna watu wa kutoka dunia nzima, viongozi wa sayansi na teknolojia, nafasi za elimu na biashara nyingi etc.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli mkuu marekani iko vizuri kwa maswala hayo
 
Canada ndio nchi pekee yenye nafasi nyingi za ajira kuliko nchi zote ulizotaja na pia Canada ina minimum wage kubwa kulinganishwa na nchi zote ulizotaja.

Canada is more friendly to immigrants kulizo nchi ulizotaja.

Canada is the place to be kwa Sasa hapa Duniani.

N.k..............

Sent using Jamii Forums mobile app

Si kweli mkuu.marekani ina watu kutoka mataifa mbali mbali inapokea watu kuliko nchi nyngne
Faida ya kuishi marekani ni kubwa kuliko nchi nyngne
 
Back
Top Bottom