Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh......look alike??!!Kama Mugabe alivyozaa na Grace wakati mume wake alikua balozi nchini Uchina?
Resource labla Gass na Mafuta...Hivi resources gani zinatakiwa kumfumania rais au waziri anayetembea na mkeo
Ukizaa na mke wa mtu wewe unamaisha magumu na mafupi tuuu hamna njia !! Lazima Utubu .Waungwana.
Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza kazi na hata kuondoa uhai wako?
Utachukua uamuzi gani?