Utachukua Uamuzi Gani Ukibaini Mkeo Amezaa na Kiongozi wako ambae ni Mwajiri wako?

Utachukua Uamuzi Gani Ukibaini Mkeo Amezaa na Kiongozi wako ambae ni Mwajiri wako?

Hivi resources gani zinatakiwa kumfumania rais au waziri anayetembea na mkeo
 
Wanasema papuchi haina makombo.... Nitampongeza Mh haina jinsi
 
Waungwana.
Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza kazi na hata kuondoa uhai wako?

Utachukua uamuzi gani?
Ukizaa na mke wa mtu wewe unamaisha magumu na mafupi tuuu hamna njia !! Lazima Utubu .
 
Hahaha Mimi namuacha natafuta mwingine
 
Soma riwaya ya " RAIS ANAMPENDA MKE WANGU " iliyo tungwa na mwandishi ERIC SHIGONGO. [emoji23] [emoji1]
 
Back
Top Bottom