Utachukuliaje ukikuta msichana aliyejinadi kuwa ni bikra kuwa sio bikra ilikuwa uongo?

Bado asubuhi sana mida ya kazi hii, ngoja niende kwenye kikao kwanza
 
Fuatilia hata habari za chadema kuchapana mikwaju iringa kazi ni uzinzi tu
 
Dah yaani nimeamka asubuhi na thread za visa vya mapenzi tuuuuuuuu, sasa subiri ifike Ijumaa, kimyaaa kila MTU anatafuta mdhambi mwenzie wakatende DHAMBI kwenye sabato.....
😂 dunia ya hekaheka hii, leo kuna watu wanajutia ya wikiendi na kuapia hawatorudia tena ila ngoja ifike alhamisi mawazo yanabadilika.
 
Pengine ni kweli alikua ni bikra ila anamaumbile makubwa...
 
Pole mkuu, wanawake wote kwenye mapenzi ni matapeli kamwe usiwaamini japo kwa hili wewe ndo fala ulikuaje ukaamini ujinga huo?? Huenda hakumaanisha bikra unyoijua wewe
 
NI KAMA UNANISTUA NIPO KWENYE KUBEMBELEZA NI BIKRA NIMWELEZE SIKU NIKIJUA UNANIDANDANYA ITAKUAJE ANAWEZA JIBU KWELI
 
Hizo bikra Huwa mnazipendea nini...Mimi kwa maungo yangu yalivyo bikra sizitaki hata kuzisikia...!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…