Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Habari wakuu,

Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama umepiga/umepigwa kavu tena kwa uchu na ulimpakia mkongo maybe kukomesha kabisa au kama wewe ni mwanamke niseme uliikalia na kuikatikia vizuri kwa ufasaha yote kuahakikisha unamvuruka mwenza wako na tendo linakuwa murua.

Sasa tuseme katika hapa na hapa ukweli umetafuta njia na sasa umekujia na unagundua huyo mwenzi wako ni muathirika na anajijua na hali yake na ni kwamba alifanya makusudi ili wote muwe sawa. Unawahi hospital kucheki Afya huku karoho kanadunda then unaona the way Madokta wanavyoshauriana kukupa majibu yako kwa jinsi kijasho chembamba kinakutoka ila mwishoni wanakukufungukia either upo possitive.

Je, ni uamuzi gani utachukua baada ya hapo? ikiwa utakutwa positive
 
Habari wakuu,
Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama umepiga/umepigwa kavu tena kwa uchu na ulimpakia mkongo maybe kukomesha kabisa au kama wewe ni mwanamke niseme uliikalia na kuikatikia vizuri kwa ufasaha yote kuahakikisha unamvuruka mwenza wako na tendo linakuwa murua.

Sasa tuseme katika hapa na hapa ukweli umetafuta njia na sasa umekujia na unagundua huyo mwenzi wako ni muathirika na anajijua na hali yake na ni kwamba alifanya makusudi ili wote muwe sawa... Unawahi hospital kucheki Afya huku karoho kanadunda then unaona the way Madokta wanavyoshauriana kukupa majibu yako kwa jinsi kijasho chembamba kinakutoka ila mwishoni wanakukufungukia either upo possitive.

Na wewe sambaza upendo tu
 
Kama unampenda mnaendelea tu kuwa pamoja.
Watu wengi hudhani mapenzi/ngono ndio kila kitu kwenye mahusiano na hilo ndio hasa tatizo kubwa!

Mnapaswa kujipa muda kabla ya kugusanisha nyama kwa nyama. Hapo itabidi waoane tu waendeleze familia! Kuwa na vvu sio mwisho wa maisha
 
pngwing.com.png
 
Kubali matokeo,msamehe na maisha yaendelee.Wewe mwenyewe ndo upo responsible na afya yako.Unatakiwa usimwamini mtu.Usito mbane na mtu bila kujua status yake kwenye magonjwa ya zinaa.

Vijana wanapenda utelezi.

Mimi watu wananichekaga sana... nikiwaambia ni bora nipige punyeto kuliko kugonga mtu kavu kavu bila kinga.. wananicheka.. hizo drama ndio sizitaki
 
Habari wakuu,
Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama umepiga/umepigwa kavu tena kwa uchu na ulimpakia mkongo maybe kukomesha kabisa au kama wewe ni mwanamke niseme uliikalia na kuikatikia vizuri kwa ufasaha yote kuahakikisha unamvuruka mwenza wako na tendo linakuwa murua.

Sasa tuseme katika hapa na hapa ukweli umetafuta njia na sasa umekujia na unagundua huyo mwenzi wako ni muathirika na anajijua na hali yake na ni kwamba alifanya makusudi ili wote muwe sawa... Unawahi hospital kucheki Afya huku karoho kanadunda then unaona the way Madokta wanavyoshauriana kukupa majibu yako kwa jinsi kijasho chembamba kinakutoka ila mwishoni wanakukufungukia either upo possitive.

Je, ni uamuzi gani utachukua baada ya hapo? ikiwa utakutwa positive
Huna cha kufanya. Kama vipi nawe jitahidi umwambukize kaswende...
 
Kama unampenda mnaendelea tu kuwa pamoja.
Watu wengi hudhani mapenzi/ngono ndio kila kitu kwenye mahusiano na hilo ndio hasa tatizo kubwa!

Mnapaswa kujipa muda kabla ya kugusanisha nyama kwa nyama. Hapo itabidi waoane tu waendeleze familia! Kuwa na vvu sio mwisho wa maisha
Hahaha, hivi mtu anaweza kweli kuishi nyumba moja na mtu ambae amemuaharibia maisha kwa makusudi na wakakaa kwa amani kabisa?
 
Kubali matokeo,msamehe na maisha yaendelee.Wewe mwenyewe ndo upo responsible na afya yako.Unatakiwa usimwamini mtu.Usito mbane na mtu bila kujua status yake kwenye magonjwa ya zinaa.
Nimekuuliza wewe, so usitoe ushauri bali jiongelee wewe ungechukua uamuzi gani?
 
Back
Top Bottom