Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Kuna zigo nlipiga af kwa kihelehele nkamtonya jamaangu mmoja kua lile zigo nmefinya, jamaa akanisanua aah lile limewaka, kwani limekaa ktk mahusiano na njemba aliewaka kw mda mrefu,Habari wakuu,
Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama umepiga/umepigwa kavu tena kwa uchu na ulimpakia mkongo maybe kukomesha kabisa au kama wewe ni mwanamke niseme uliikalia na kuikatikia vizuri kwa ufasaha yote kuahakikisha unamvuruka mwenza wako na tendo linakuwa murua.
Sasa tuseme katika hapa na hapa ukweli umetafuta njia na sasa umekujia na unagundua huyo mwenzi wako ni muathirika na anajijua na hali yake na ni kwamba alifanya makusudi ili wote muwe sawa... Unawahi hospital kucheki Afya huku karoho kanadunda then unaona the way Madokta wanavyoshauriana kukupa majibu yako kwa jinsi kijasho chembamba kinakutoka ila mwishoni wanakukufungukia either upo possitive.
Je, ni uamuzi gani utachukua baada ya hapo? ikiwa utakutwa positive
Nlikaa na dalili zote kwa miezi kadhaa, Google history ilijaa maujinga kuhusu dalili za mtu mwenye HIV, Nashukuru nmepona, na nmeapa kila nkifinya dude itabaki kua siri yangu.... nawasilisha.