Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa ndiyo penye mjadala!Mimi binafsi lazima nimkwaze huyo mtu.
Maana kama alikuwa anajua hali yake na ameniambukiza makusudi.. si fair
Ni ngumu sana,kama tu watu hawajaharibiana maisha,lakini inakua vurumai,je mmoja wao akiharibu?Sipati picha.Hahaha, hivi mtu anaweza kweli kuishi nyumba moja na mtu ambae amemuaharibia maisha kwa makusudi na wakakaa kwa amani kabisa?
Anza dozi acha ngebe.Unavuja wewe
We mara ya mwisho kuto mbwa lini?🙂Kubali matokeo, msamehe na maisha yaendelee. Wewe mwenyewe ndo upo responsible na afya yako.Unatakiwa usimwamini mtu.Usito mbane na mtu bila kujua status yake kwenye magonjwa ya zinaa.
Habari wakuu,
Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama umepiga/umepigwa kavu tena kwa uchu na ulimpakia mkongo maybe kukomesha kabisa au kama wewe ni mwanamke niseme uliikalia na kuikatikia vizuri kwa ufasaha yote kuahakikisha unamvuruka mwenza wako na tendo linakuwa murua.
Sasa tuseme katika hapa na hapa ukweli umetafuta njia na sasa umekujia na unagundua huyo mwenzi wako ni muathirika na anajijua na hali yake na ni kwamba alifanya makusudi ili wote muwe sawa. Unawahi hospital kucheki Afya huku karoho kanadunda then unaona the way Madokta wanavyoshauriana kukupa majibu yako kwa jinsi kijasho chembamba kinakutoka ila mwishoni wanakukufungukia either upo possitive.
Je, ni uamuzi gani utachukua baada ya hapo? ikiwa utakutwa positive
Denda vip nayo si hatar mkuu... maana mimi hata Condom huwa natumia lakini baada ya tendo huo usiku wake huwa silalagi kabisa kwa hofu... Daah yaani kwa ufupi mimi ndo mwoga kuliko wote dunianiMimi huo upuuzi hauwezi nikuta kamwe,kwanza sito mbani kizembe.Pia siku nikija kukutana kimwili na mtu lazima tupime magonjwa yote ya zinaa na pamoja na kupima lazima Condom itumike. So siwezi jiongelea kwenye scenario ambayo kamwe haiwezi nikuta .
Magonjwa kama mengine ya zinaa unaweza pata hata ukitumia condom mfano chlamydia.Denda vip nayo si hatar mkuu... maana mimi hata Condom huwa natumia lakini baada ya tendo huo usiku wake huwa silalagi kabisa kwa hofu... Daah yaani kwa ufupi mimi ndo mwoga kuliko wote duniani
Hiyo ndo ugonjwa ganiiMagonjwa kama mengine ya zinaa unaweza pata hata ukitumia condom mfano chlamydia.
Yani ukishapata ngoma ndio unaanza kumkumbuka Mungu....kwanini usianze mapema kabla hujapata ili akuepushe nayo?Kama mimi hapa ningekuwa wewe.. Ningekaa nae chini, tukaanza zero.. ikiwa ni pamoja kukubaliana na hali zetu.. kumtazamia Mungu katika maisha mapya.. lakini kubwa zaidi upendo usio na doa wala shaka.. huku Mungu akiwa wa kwanza.. na kujitahidi kufata ushauri wote wa kitaalamu kwa kujali afya n.k..
Ha ha ha ja we mzee weweHuna cha kufanya. Kama vipi nawe jitahidi umwambukize kaswende...
matatizo yanatufundisha mengiYani ukishapata ngoma ndio unaanza kumkumbuka Mungu....kwanini usianze mapema kabla hujapata ili akuepushe nayo?
Ni kweli lkn ni heri uanze mapema,maana ukianza mapema wala hutokuwa na uoga wa kupata ngoma....km kutakuwa na upendo wa kweli baina yenu na pia mkimtumaini Mungu hamtakuwa na haja ya kuogopa ngoma....kuna watu wanafanya makusudi kuambukiza wenzao....jana nilipata story ya mtoto wa kike ana miaka 20 kaambukizwa na mwanajeshi...na pia yeye kaenda kutembea na vijana wenzake zaidi ya wawili wa chuo....hakuwa akijua kama ana maambukizi....sasa unaweza ku-imagine kama na hao wameambukizwa hiyo chain yake inakuwaje....lazima tuwe responsible na maisha yetu....tusilaumu mtumatatizo yanatufundisha mengi
Meaning of POPOMA please 🥺Dah, nikazanigi watu wanakuchukia tu kisa personal issues kumbe kweli we jau, Sasa nimejua kumbe kweli mwanangu ni sahihi watu wanavyokuitaga POPOMA
Kaka nakupongeza kuchukua Sheria mikononi 🤙Vijana wanapenda utelezi.
Mimi watu wananichekaga sana... nikiwaambia ni bora nipige punyeto kuliko kugonga mtu kavu kavu bila kinga.. wananicheka.. hizo drama ndio sizitaki
Nawapa pole wale tunaozagamua bila kujua safari ya ngono zembe🤣Kubali matokeo, msamehe na maisha yaendelee. Wewe mwenyewe ndo upo responsible na afya yako.Unatakiwa usimwamini mtu.Usito mbane na mtu bila kujua status yake kwenye magonjwa ya zinaa.