Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

Vijana wanapenda utelezi.

Mimi watu wananichekaga sana... nikiwaambia ni bora nipige punyeto kuliko kugonga mtu kavu kavu bila kinga.. wananicheka.. hizo drama ndio sizitaki
😂😂😂
 
Kama mimi hapa ningekuwa wewe.. Ningekaa nae chini, tukaanza zero.. ikiwa ni pamoja kukubaliana na hali zetu.. kumtazamia Mungu katika maisha mapya.. lakini kubwa zaidi upendo usio na doa wala shaka.. huku Mungu akiwa wa kwanza.. na kujitahidi kufata ushauri wote wa kitaalamu kwa kujali afya n.k..
 
Nimekuuliza wewe, so usitoe ushauri bali jiongelee wewe ungechukua uamuzi gani?
Mimi huo upuuzi hauwezi nikuta kamwe,kwanza sito mbani kizembe.Pia siku nikija kukutana kimwili na mtu lazima tupime magonjwa yote ya zinaa na pamoja na kupima lazima Condom itumike. So siwezi jiongelea kwenye scenario ambayo kamwe haiwezi nikuta .
 
Mbinguni utakuwa housegirl wa Bikira Maria...
 
Mimi huo upuuzi hauwezi nikuta kamwe,kwanza sito mbani kizembe.Pia siku nikija kukutana kimwili na mtu lazima tupime magonjwa yote ya zinaa na pamoja na kupima lazima Condom itumike. So siwezi jiongelea kwenye scenario ambayo kamwe haiwezi nikuta .
So hadi mumeo/mkeo mnatumia kinga?
 
Hivyo vijidudu kabla hujavipata unaambiwa ni hatari sana, ila ukishavinasa unaambiwa usiwe na hofu.... utaweza kuishi navyo tu havina shida.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee Kuna logic Sana apa
 
Hahaha, hivi mtu anaweza kweli kuishi nyumba moja na mtu ambae amemuaharibia maisha kwa makusudi na wakakaa kwa amani kabisa?
Kupanga ni kuchagua.
Kuna watu wanaharibiwa via vya uzazi sembuse kuambukizwa vvu!
Ni kweli inaumiza lakini hapo hakuna wa kumlaumu mwenzake ikiwa wote ni watu wazima alipaswa kujiandaa kwa lolote litakalojitokeza!
Kuwa na virusi sio mwisho wa maisha! Kama wanapendana waendeleze tu maisha!

My take: mtu kama anajijua ameathirika asipende kulipa kisasi kwa kuwaambukiza wasio navyo. Atafute waathirika wenzake waendeleze maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…