Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

Kuna zigo nlipiga af kwa kihelehele nkamtonya jamaangu mmoja kua lile zigo nmefinya, jamaa akanisanua aah lile limewaka, kwani limekaa ktk mahusiano na njemba aliewaka kw mda mrefu,

Nlikaa na dalili zote kwa miezi kadhaa, Google history ilijaa maujinga kuhusu dalili za mtu mwenye HIV, Nashukuru nmepona, na nmeapa kila nkifinya dude itabaki kua siri yangu.... nawasilisha.
 
Tatizo linakujaje! Unamtongoza dada wa watu, anakuonea huruma anakukatalia kwamba hayupo tayari kukupa mzigo lakini wewe unang'ania.

Anafikiri akikuambia ukweli kwamba anakula njugu utaenda kutangaza, anaamua kukukataa tena. Na wewe na akili zako unaamua umfurahishe kwa kumhonga mapema ili akukubali tena pengine unampeleka sehemu za ulevi, na yeye anaamua kukutunuku hivyo hivyo utajuaga mwenyewe.

Angalizo: ukiona mdada analazimisha mtumie kinga, tumia. Huenda anakupenda hataki kukuingiza kwenye gridi ya taifa ila tu hawezi kukuambia maana akifanya hivyo anajua vijana hawana siri.
 
Hivyo vijidudu bhana kabla hujavipata unaambiwa ni hatari sana, ila ukishavinasa unaambiwa usiwe na hofu.... utaweza kuishi navyo tu havina shida.
Kweli. Ukimwi ulitisha Zamani. Siku hizi ni Ugonjwa TU wa Kawaida. Kikubwa ni Usipaniki. Mjomba wangu ana Miaka 26 Sasa Toka aupate baada ya kujikunali anaishi vyema TU Mwaka wa 26 Sasa, wakati ndugu zake Wengi TU waliokuwa Wazima hawana Ukimwi wamefariki Dunia!
Uwe na Amani. Hakuna atakayeishi Duniani Milele
 
Tatizo, nyama Kwa nyama tamu
 
Mimi huo upuuzi hauwezi nikuta kamwe,kwanza sito mbani kizembe.Pia siku nikija kukutana kimwili na mtu lazima tupime magonjwa yote ya zinaa na pamoja na kupima lazima Condom itumike. So siwezi jiongelea kwenye scenario ambayo kamwe haiwezi nikuta .
...mmm, Victoire ! Ukimwi hautokani na ngono TU!
Unaweza kuupata Hata Kwa bahati mbaya TU ya kujikata kidogo na Kisu ambacho kimemkata mwenye Ukimwi ! Hapo je ?
 
Point
 
...mmm, Victoire ! Ukimwi hautokani na ngono TU!
Unaweza kuupata Hata Kwa bahati mbaya TU ya kujikata kidogo na Kisu ambacho kimemkata mwenye Ukimwi ! Hapo je ?
Kwani hajui au kiburi.... watu wa humu wengi ni wajuaji sana, Kwanza hawasomi uzi wakaulewa pili mtu anatoa maoni baada ya kusoma maoni ya mwenzake... ndo maana unaona uropokaji ni mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…