Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

Mimi binafsi lazima nimkwaze huyo mtu.

Maana kama alikuwa anajua hali yake na ameniambukiza makusudi.. si fair
Hapo sasa ndiyo penye mjadala!

Ni yupi aliye mwambukiza mwenzake kwa makusudi iwapo kila mmoja ni guardian wa afya ya mwenzake?

Kwa sababu wewe mwenyewe ulipaswa kuidai na kuitumia kinga.

Ulipoenda kichwa kichwa, dhamira yako ilikuwa ni ovu kama ya huyo mwenzako aliyejiachia bila ya kinga.

Lakini tuacheni nyie, K mpya umeipata kwa kusoteshwa, kusimangiwa pamoja na masharti ya hongo kubwa hadi ukajiona dhalili!

Sasa leo ni kama tip, umelengeshewa kisanii, kuna cha kukumbuka "ndom" hapo!

Kwanza unakuwa umepaniki mchanganyiko na uchu wa kishenzi, ule uchu wa kitaahira wa kutiririsha udenda mdomoni, hauwezi kukumbuka chochote, hadi ufunge goli la mkono ndiyo akili zikurudi.

Wanasema "majuto ni mjukuu"
Poleni sana vijana.
 
Hahaha, hivi mtu anaweza kweli kuishi nyumba moja na mtu ambae amemuaharibia maisha kwa makusudi na wakakaa kwa amani kabisa?
Ni ngumu sana,kama tu watu hawajaharibiana maisha,lakini inakua vurumai,je mmoja wao akiharibu?Sipati picha.
 
Nini chanzo?
Mshahara wa dhambi............
 
Kubali matokeo, msamehe na maisha yaendelee. Wewe mwenyewe ndo upo responsible na afya yako.Unatakiwa usimwamini mtu.Usito mbane na mtu bila kujua status yake kwenye magonjwa ya zinaa.
We mara ya mwisho kuto mbwa lini?🙂
 


Azuma, pole sana
 
Mimi huo upuuzi hauwezi nikuta kamwe,kwanza sito mbani kizembe.Pia siku nikija kukutana kimwili na mtu lazima tupime magonjwa yote ya zinaa na pamoja na kupima lazima Condom itumike. So siwezi jiongelea kwenye scenario ambayo kamwe haiwezi nikuta .
Denda vip nayo si hatar mkuu... maana mimi hata Condom huwa natumia lakini baada ya tendo huo usiku wake huwa silalagi kabisa kwa hofu... Daah yaani kwa ufupi mimi ndo mwoga kuliko wote duniani
 
Denda vip nayo si hatar mkuu... maana mimi hata Condom huwa natumia lakini baada ya tendo huo usiku wake huwa silalagi kabisa kwa hofu... Daah yaani kwa ufupi mimi ndo mwoga kuliko wote duniani
Magonjwa kama mengine ya zinaa unaweza pata hata ukitumia condom mfano chlamydia.
 
Yani ukishapata ngoma ndio unaanza kumkumbuka Mungu....kwanini usianze mapema kabla hujapata ili akuepushe nayo?
 
matatizo yanatufundisha mengi
Ni kweli lkn ni heri uanze mapema,maana ukianza mapema wala hutokuwa na uoga wa kupata ngoma....km kutakuwa na upendo wa kweli baina yenu na pia mkimtumaini Mungu hamtakuwa na haja ya kuogopa ngoma....kuna watu wanafanya makusudi kuambukiza wenzao....jana nilipata story ya mtoto wa kike ana miaka 20 kaambukizwa na mwanajeshi...na pia yeye kaenda kutembea na vijana wenzake zaidi ya wawili wa chuo....hakuwa akijua kama ana maambukizi....sasa unaweza ku-imagine kama na hao wameambukizwa hiyo chain yake inakuwaje....lazima tuwe responsible na maisha yetu....tusilaumu mtu
 
wote mlikomoana
wewe ukaupaka mkongo kumkomoa
na yeye ajakwambia ukwel kakukomoa pia

iyo ngoma droo, mbwa kala mbwa
 
Dah, nikazanigi watu wanakuchukia tu kisa personal issues kumbe kweli we jau, Sasa nimejua kumbe kweli mwanangu ni sahihi watu wanavyokuitaga POPOMA
Meaning of POPOMA please 🥺
 
Vijana wanapenda utelezi.

Mimi watu wananichekaga sana... nikiwaambia ni bora nipige punyeto kuliko kugonga mtu kavu kavu bila kinga.. wananicheka.. hizo drama ndio sizitaki
Kaka nakupongeza kuchukua Sheria mikononi 🤙
 
Kubali matokeo, msamehe na maisha yaendelee. Wewe mwenyewe ndo upo responsible na afya yako.Unatakiwa usimwamini mtu.Usito mbane na mtu bila kujua status yake kwenye magonjwa ya zinaa.
Nawapa pole wale tunaozagamua bila kujua safari ya ngono zembe🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…