Utafanya nini ukipewa jibu kama hili wakati unatongoza?

Juzi tu hapa kuna mbaba alinitongoza nikamjibu hivyo kwamba niko engaged, alichosema mmmm!
Wanume sijui mkoje, umeshajibiwa tena jibu la wazi wala sio la kujing'atang'ata lakini uking'anga'nizi sasa lol!
 
Watu wengine kwa kuandaa mazingira ya kuchunwa na kupangwa mstari bhana! Kha!

Mabinti wa siku hz hayo ni majibu yao standard, ili kesho ukikuta msg za mapenz kwenye simu yake uwe mpole, na kwakua umeng'ang'aniza kupewa lift atakupiga mizinga ya aibu!

Cha kufanya, mabinti kama hao hakuna kufanya discussion hadi kufikia huko kwenye majibu ya kuudhi, unampangia mitego kama ya kwenye draft ama chess, akija kushtuka chochote atakachosema ama kuamua ni 'tu-tu-sa' ama 'chess mate'
You should structure the trap in such a way that she would be celebrating her orgasm before she knows how she got there in the first place!

And as for cementing your relationship, itendee haki papuchi hadi akiondoka njia nzima anasikilizia utamu kama aliyetoka kulamba sukari!
 
Utakubalia matokeo maana amekuwa wazi kwako. Na utakuwa wa hovyo kuendelea kumng'ang'ania
 
Mkatie msimbazi mmoja na kumwambia kanunue MUDA WA HEWANI wa CM halafu tutakutana kesho! Akipokea tu ujue hapo gea namba moja imeingia.Mkikutana tena hiyo kesho ingiza gea namba mbili na mzigo nakuhakikishia utaubeba tu!
 
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu "tayari nina mpenzi wangu" pale unavyotongoza? kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?

hiyo ni swaga ambayo madem wengi huitumia kujikweza. akikuambia hivyo jifanye kama hujamsikia...endelea tu kukomaa naye mpaka mistari imuingie. ukishamlamba papuchi muulize : 'vipi yule mpenzi/mtu/mchumba wako uliyeniambia kuwa unaye'? walah atakataa katakata na atasema hajawahi kukutamkia jambo kama hilo. chezea madem 'kujikweza' wewe!
 
Hakuna haja ya kumkomalia.... Unaweza uka-assume kuwa anakujaribu kumbe yuko serious ukaishia kujiaibisha..
 
Mpaka unaambiwa hivyo ujue ulishakosea

hakuna kitu kama hicho. mie nshapewa majibu ya namna hiyo mara kibao lakini nimekomb mpaka nikula mzigo. madem hutumia kauli hiyo kuwapima wanaume wanaowatokea. tena madem kama hao ndio rahisi kulamba kuliko wale wanaokataa moja kwa moja. ukisikia demu anakuambia 'tayari nina mtu', elewa kwamba amesema NDIYO. kisingizio cha 'kuwa na mtu', is a self-marketing stategy that is employed by many wome/women when approached for papuchi for the first time. ukikomaa unakula mzigo, ukizembea dem atakudharau sana na ataenda kuku-'kan'tangaze' kwa madem wenzake. itakua aibu kwako mtongozaji.
 
Hapo sasa mbona kazi ndogo,utakiwi kumconvince kwa maneno....Muwekee mazingira ya kujiona free ya kuwa na wewe ata kama ana mtu tayari,mpe anachopenda ila anakosa kwa boyfriend wake....mfano,sista du anapenda kuvaa na bwanake hajali kumng'alisha mpige shopping ya vitu asivyovitegemea kuvaa.. Yani inshort cheza na mind yake otherwise awe hajavutiwa mazima.

mkuu, nimeipenda hii ila kitufe cha LIKE sikioni.
 
Watu wengine kwa kuandaa mazingira ya kuchunwa na kupangwa mstari bhana! Kha!

Mabinti wa siku hz hayo ni majibu yao standard, ili kesho ukikuta msg za mapenz kwenye simu yake uwe mpole, na kwakua umeng'ang'aniza kupewa lift atakupiga mizinga ya aibu!

Cha kufanya, mabinti kama hao hakuna kufanya discussion hadi kufikia huko kwenye majibu ya kuudhi, unampangia mitego kama ya kwenye draft ama chess, akija kushtuka chochote atakachosema ama kuamua ni 'tu-tu-sa' ama 'chess mate'
You should structure the trap in such a way that she would be celebrating her orgasm before she knows how she got there in the first place!

And as for cementing your relationship, itendee haki papuchi hadi akiondoka njia nzima anasikilizia utamu kama aliyetoka kulamba sukari!

hahahaha! mkuu, umemaliza. mwenye macho asikie na mweye masikio aone!
 
We komaa tu mpenzi kitu gani hata sisimizi ana mpenzi wake....
 
Juzi tu hapa kuna mbaba alinitongoza nikamjibu hivyo kwamba niko engaged, alichosema mmmm!
Wanume sijui mkoje, umeshajibiwa tena jibu la wazi wala sio la kujing'atang'ata lakini uking'anga'nizi sasa lol!
Na usipokaa sawa atakipukuchua hicho kipochi manyoya!
 
Watu wengine kwa kuandaa mazingira ya kuchunwa na kupangwa mstari bhana! Kha!

Mabinti wa siku hz hayo ni majibu yao standard, ili kesho ukikuta msg za mapenz kwenye simu yake uwe mpole, na kwakua umeng'ang'aniza kupewa lift atakupiga mizinga ya aibu!

Cha kufanya, mabinti kama hao hakuna kufanya discussion hadi kufikia huko kwenye majibu ya kuudhi, unampangia mitego kama ya kwenye draft ama chess, akija kushtuka chochote atakachosema ama kuamua ni 'tu-tu-sa' ama 'chess mate'
You should structure the trap in such a way that she would be celebrating her orgasm before she knows how she got there in the first place!

And as for cementing your relationship, itendee haki papuchi hadi akiondoka njia nzima anasikilizia utamu kama aliyetoka kulamba sukari!

Aiseee,,, HOW?
 
Back
Top Bottom