Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni majibu ya kawaida labda ukute huyo alie nae amesha muoa.! Ila kama sivyo basi we mwambie tena ningesha shangaa mrembo kama ww mpaka sasa upo single ila nacho amini huyo ulie nae alikua akinituzia nafasi yangu na Muda ushafika.. Wat next hapo nikuonesha ma chejo ya upendo.. hakuna kinacho shindikana kubadilisha akili za hawa dada zetu kazi ndogo sana.
Hapana leo ni mwaka wa 3 sound bado ni izo izo
Wana MMU umemtokea demu alafu anakupa jbu "tayari nina mpenzi wangu" pale unavyotongoza? kama hlo je utaendelea kumkomalia au utafanyaje?
Si ndo hapo kutaka kung'ang'ania kama ruba inahusuuuu!!!?Haaa!!! Sasa kwan we kupe? S unaacha
Si ndo hapo kutaka kung'ang'ania kama ruba inahusuuuu!!!?
Watu wengine kwa kuandaa mazingira ya kuchunwa na kupangwa mstari bhana! Kha!
Mabinti wa siku hz hayo ni majibu yao standard, ili kesho ukikuta msg za mapenz kwenye simu yake uwe mpole, na kwakua umeng'ang'aniza kupewa lift atakupiga mizinga ya aibu!
Cha kufanya, mabinti kama hao hakuna kufanya discussion hadi kufikia huko kwenye majibu ya kuudhi, unampangia mitego kama ya kwenye draft ama chess, akija kushtuka chochote atakachosema ama kuamua ni 'tu-tu-sa' ama 'chess mate'
You should structure the trap in such a way that she would be celebrating her orgasm before she knows how she got there in the first place!
And as for cementing your relationship, itendee haki papuchi hadi akiondoka njia nzima anasikilizia utamu kama aliyetoka kulamba sukari!
Mpaka unaguna inaelekea ulishindwa kupangua hoja hapoJuzi tu hapa kuna mbaba alinitongoza nikamjibu hivyo kwamba niko engaged, alichosema mmmm!
Wanume sijui mkoje, umeshajibiwa tena jibu la wazi wala sio la kujing'atang'ata lakini uking'anga'nizi sasa lol!
wengine wanakwambia hivyo hili asije akaonekana anajirahisha kwako
inabid usikate tamaa
Mpaka unaguna inaelekea ulishindwa kupangua hoja hapo
Mpaka unaambiwa hivyo ujue ulishakosea
kwa sababu tu nimekwambia inaelekea ulishindwa kuonagua hoja? PoleNegative thoughts tu, huwezi kuwaza positive hata kidogo