[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kukutana mnyemelee umuone kabla hajakuona, uliza alivyovaa na ukikuta siye uliyekua unachat nae basi timua zako tu!
Ila ni vizuri ukamtumia msg kumwambia hamuezi onana na umpe sababu ili apate aibu!
JovithaNipo njiani nipokee super women 2
Poa. Umenambia nikutagi daby akinijibu. Nilijibiwa hukojuuNiambie super women???
Kirahisi kihivyooo tuu eee
Binadamu mwenye roho na utu.Wewe sio MTU ni.....
Mzee ujue hayo mazungumzo ya mitaa yetu au unataka wastuke +Ha ha ha ha ha ha mzee uko Vizur sana hvi Yule umemuacha kwel humu humu
Halafu wew..Utawajua tu wahusika [emoji4] [emoji111]
Huyu ni mzee mwenzangu tu.. na ni CEO wa kampuni fulani pendwa[emoji15] babuuu asprin ni nani???? Je ni ke/me???!!!!
Mie mawe yangu yako gizan tu wala usiwe na hofuMzee ujue hayo mazungumzo ya mitaa yetu au unataka wastuke +
Ha ha ha h nyie ndio wafuas wake kumbe mnafahamian vizur enhee?Cheza na Daby nn utafikiri kachanjiaaa
Cc:espy
Haha.. namtafuta shunie saana haujamwonaMie mawe yangu yako gizan tu wala usiwe na hofu
Ha ha ha ha kuna kibabu kimemficha kwa wazee yuleHaha.. namtafuta shunie saana haujamwona
Haha... maana kila nikichungulia kwake simwoni.Ha ha ha ha kuna kibabu kimemficha kwa wazee yule