Utafanyaje km uliye mtegemea ndiye kumbe siye?!

Utafanyaje km uliye mtegemea ndiye kumbe siye?!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kukutana mnyemelee umuone kabla hajakuona, uliza alivyovaa na ukikuta siye uliyekua unachat nae basi timua zako tu!
Ila ni vizuri ukamtumia msg kumwambia hamuezi onana na umpe sababu ili apate aibu!
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji125] [emoji125]
 
Labda anidanganye yeye. Kamwe siwezi kumdanganya.

Ikitokea umenidanganya na nikakutambua, bila hiyana nakufata tu hapo nakuambia umezingua. Kisha nasepa zangu. Siogopi chochote.
 
Back
Top Bottom