Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
- Thread starter
-
- #181
mkuu nitaenda kwanza kwenye chimbo flani hivi ambako huwa nachoma kitimoto,nachoma kawanza kama kilo 5 hivi,nakaa nazo chini naanza kuzishughulikia.....kesho nitakujuza hatua ya pili itakayofuata
idea yako yafaa kutolewa movie
Umekula ile kitu ya R Chuga ee,coz hizo ndio hisia zake.
Namtafuta nyani jike namtia mimba.
Nitakuwa wa kwanza, kwa hiyo mwanamume nitakayemuumba safari hii nita make sure ana follow matakwa ya CREATIONS!
nothing can exist alone, it will die/perish in a very short period of time
Ntapita magogoni nione kama nae hatakuwepo
Hata mwezi huu wa toba watu hawaachi bangi!
Hilo ndo swali la kujiuliza, aliishi peke ake kwa muda gani?mbona adamu aliweza kuishi, au kwa muda gani mkuu
Tutakua wengi maana miji ni mingi so mimi ntakua kahama mwingine mtwara mwingine mbeya mwi gine daslam...
Mkuu unatumia viroba au cha arusha tu
Yaani ni sawa na kuamka asubuhi alafu unakuta Nje Hakupo......Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?πππ
Naoa nyani..ili kuwndeleza ukoo wetu
Kwanza haitakaa ikatokea japo ikitokea poa tu maana majumba yote yatakua ya kwangu,na MUNGU akiniona nipo mpweke akaleta watu wengine itakua poa maana ntapangisha nyumba zangu.hii ni zaidi ya kumiliki Apartiment,sijui ntaita namiliki nini tu.
Jaribu kuwasiliana na Abunuwasi labda yeye anajua.