Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

mkuu nitaenda kwanza kwenye chimbo flani hivi ambako huwa nachoma kitimoto,nachoma kawanza kama kilo 5 hivi,nakaa nazo chini naanza kuzishughulikia.....kesho nitakujuza hatua ya pili itakayofuata

ahahahah we jamaa unaonekana una hamu na kitimoto si utavimbiwa
 
Nitakuwa wa kwanza, kwa hiyo mwanamume nitakayemuumba safari hii nita make sure ana follow matakwa ya CREATIONS!
 
Kwanza haitakaa ikatokea japo ikitokea poa tu maana majumba yote yatakua ya kwangu,na MUNGU akiniona nipo mpweke akaleta watu wengine itakua poa maana ntapangisha nyumba zangu.hii ni zaidi ya kumiliki Apartiment,sijui ntaita namiliki nini tu.
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Yaani ni sawa na kuamka asubuhi alafu unakuta Nje Hakupo.
 
Kwanza haitakaa ikatokea japo ikitokea poa tu maana majumba yote yatakua ya kwangu,na MUNGU akiniona nipo mpweke akaleta watu wengine itakua poa maana ntapangisha nyumba zangu.hii ni zaidi ya kumiliki Apartiment,sijui ntaita namiliki nini tu.

hakuna kisichowezekana kwa MUNGU MKUU
 
Back
Top Bottom