Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Nitaomba waniludishie lulu na wema sepetu
 
Una Adopt new way of Living,Wanyama waliopo watakua nDio replacement ya wanaDamu walioonDoka,.sijakusuDia na haja za kimwili
Maana ina relate kiasi na wale wawekwao ktk IsolateD cells in PRISON, Watu huwa wanafanya paka/ndege/Insects kuwa waliwazi wao/Kuwa Rafiki wao wa kariBu na iko prooVeD scientifically kwamba wanyama wanasaiDia sana ktk kupunguza msongo/Mkazo wa Mawazo so na ni kitu ambacho Baba yetu Nabii ADAM aliki experience ktk Bustani ya Eden..
N life ilisonga tu mpk alipoletewa Eve
 

mwisho utakuwa na akili na mienendo ya wanyama, itaenda utakuwa mnyama kabisaaa kama siyo kichaa
 
Omba sana au Fanya dua mkuu
 
Tafsiri yake mimi niko kwa sababu wew upo tunaishi kwa kutegemeana tuna paswa kuheshimu tofaut zetu mrefu yupo sababu kuna mfupi na mwembamba yuko sababu mnene yuko
 
cha kwanza nitadeal na pesa,yaan kama ni kuingia duka moja hadi lingine kukusanya pesa zote alafu vitu vingine ndio vitafuata, [emoji16] maana unaweza ukajikuta upo pekee yako alafu baada ya masaa machache hali ikarudi vile vile mkawa mpo wengi [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…