Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Nitaomba waniludishie lulu na wema sepetu
 
Una Adopt new way of Living,Wanyama waliopo watakua nDio replacement ya wanaDamu walioonDoka,.sijakusuDia na haja za kimwili
Maana ina relate kiasi na wale wawekwao ktk IsolateD cells in PRISON, Watu huwa wanafanya paka/ndege/Insects kuwa waliwazi wao/Kuwa Rafiki wao wa kariBu na iko prooVeD scientifically kwamba wanyama wanasaiDia sana ktk kupunguza msongo/Mkazo wa Mawazo so na ni kitu ambacho Baba yetu Nabii ADAM aliki experience ktk Bustani ya Eden..
N life ilisonga tu mpk alipoletewa Eve
 
mwisho utakuwa na akili na mienendo ya wanyama, itaenda utakuwa mnyama kabisaaa kama siyo kichaa
 
daah aisee kuna siku niliota nipo town mida ya jioni giza ndo linaingia tulikuwa tunasubiri daladala sasa ghafla mwezi (moon) ukavunjika na ukatoa sauti kubwa, baada ya muda nikaona watu wote wamevaa nguo nyeusi kasoro mimi tu na wote wanaelekea sehemu moja wanatembea kwa mstari ila kupo kimya sanaa mimi peke yangu ndo nipo tofauti kila nikiwasemesha hawaongei na hawana muda na mimi, nikajiona nimetengwa na dunia nzima, ile kitu ilikuwa inaniogopesha siku nzima nikikaa nilikuwa nawaza tu
Omba sana au Fanya dua mkuu
 
Tafsiri yake mimi niko kwa sababu wew upo tunaishi kwa kutegemeana tuna paswa kuheshimu tofaut zetu mrefu yupo sababu kuna mfupi na mwembamba yuko sababu mnene yuko
 
cha kwanza nitadeal na pesa,yaan kama ni kuingia duka moja hadi lingine kukusanya pesa zote alafu vitu vingine ndio vitafuata, [emoji16] maana unaweza ukajikuta upo pekee yako alafu baada ya masaa machache hali ikarudi vile vile mkawa mpo wengi [emoji125]
 
Back
Top Bottom