Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Story za kufikirika haziwezekani..kwanza umeshasema SWALI LA KIZUSHIHata mimi nawashangaa mkuu wanang'ang'ania haiwezekani wakati matukio yanajieleza nasimulizi mbalimbali za kwenye kitabu, kwa mfano Mungu alivyoleta mvua siku 40 mfululizo na kuangamiza kizazi alivyomwagiza nuhu kujenga safina.. sasa kwanini isiwezekane kuondoa watu wote akabaki mmoja
True mkuu
Story za kufikirika haziwezekani..kwanza umeshasema SWALI LA KIZUSHI
Huwezi kuzunguka dunia kwa muda mfupi tu unapoamka na kujua kuwa wote hawapo na kuwa umebakia peke yako otherwise itakubidi uwatafute kwa kuzunguka dunia nzima utakapokutana nao mpaka hata kwa miaka millennia
I am a philosopher, anyway! Issues of revelation have no scientific proof and that brings me to that conclusion!hahahah mkuu wewe ni selfish kwenye kufikiri au empty minded???? ebu fikiria nje ya box
I am a philosopher, anyway! Issues of revelation have no scientific proof and that brings me to that conclusion!
NITARUDI KULALA ILI NIMALIZIE NDOTO YANGU
Hehehehe...hebu fikiria unatembea kengele zote nje mtaa wa kongo na samora huku unapiga mluzihaahahahaha sasa mkuu ili iweje labda??? unataka hadi wanyama wakushangae
ok mkuu nimekuelewamangapi yanatokea ya ajabu mnaishia kusema..Mungu anatisha, sasa why hili lisiwezekane wakati Mungu ndiye mwanzo na mwisho?
Freshhuo ni mtizmo wako mkuu, kwa MUNGU hakuna lisilowezekana
Patapendezaje? Waende tu.Nitagurah kishenzi aseee
Ntapiga cm huduma kwa wateja..kw maana wao wapo macho mda wote....