sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
Hii inafanana na series inaitwa Last man on earth...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana magari nayo yatakuwa yametowekaUtaenda na nini sasa wakati uko peke yako
Kwan hawatakuepo muda ganiutalala 24 hours? huko kulala au kufa
Mkuu unatumia viroba au cha arusha tu.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitachukuwa kopo la maji na kunawa uso maana itakuwa ni ndoto ya abunuwasi
Ukisikia KURUDI KWA YESU basi ujue itafanana na hali huyo uisemayo. Tofauti yake ni kwamba Yesu atawachukua wale atakaoona wameishi maisha ya kumpendeza tu na wengine wote watabaki duniani......Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Kwanini ufurahi kishenzi mkuu?Nitagurah kishenzi aseee