Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Naenda kwanza BOT then naenda hadi Ikulu nachukua zile benz za ikulu naendesha hadi Kilimanjaro Hotel naingia ndani najichangulia misosi naila nikishiba na drive hadi TBL naenda kunywa bia za kunitosha then naendelea ku drive benz la ikulu naingia nalo Oilcom station najaza full masnondo full tank naenda kwanza Azam kampany naenda kuchukua vinywaji narudi navyo Ikulu.... nitakaa humu napekua ma fail napitia mikataba yote ya makanika inasemaje then naenda hadi bandarini kwenda kuchungulia.....

Narudi tena hadi BOT nikiwa na scania nazomba hela zote nazihamishia Ikulu huko ndiko kutakako kuwa makazi yangu... maana nitakuwa na trilion of £.......
 
Tutakua wengi maana miji ni mingi so mimi ntakua kahama mwingine mtwara mwingine mbeya mwi gine daslam...
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Mkuu unatumia viroba au cha arusha tu
 
Nitajua mwisho wa dunia umefika na mm ndo nimechwa na nimebaki mtakatifu peke yangu wengine wote walikuwa watenda dhambi wameenda motoni......
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Ukisikia KURUDI KWA YESU basi ujue itafanana na hali huyo uisemayo. Tofauti yake ni kwamba Yesu atawachukua wale atakaoona wameishi maisha ya kumpendeza tu na wengine wote watabaki duniani.

(Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa-Mathayo 24:40)

Hivyo kuna watu wengi hawataonekana kazini, shambani, shuleni nk. Itakua taharuki kubwa na breaking news itakayotawala Dunia yote. Wale waliochwa watazunguka makanisani na nyumba zingine za ibada pasipo msaada maana utakua TOO LATE TO REPENT.

Hivyo nakuona ukiuelezea unyakuo (rapture) kwa mtindo mwingine. Sote tuishi kwa kumpendeza Mungu ili tukaishi naye milele. KUISHI BILA DHAMBI DUNIANI INAWEZEKANA.
 
Back
Top Bottom