Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Story za kufikirika haziwezekani..kwanza umeshasema SWALI LA KIZUSHIHata mimi nawashangaa mkuu wanang'ang'ania haiwezekani wakati matukio yanajieleza nasimulizi mbalimbali za kwenye kitabu, kwa mfano Mungu alivyoleta mvua siku 40 mfululizo na kuangamiza kizazi alivyomwagiza nuhu kujenga safina.. sasa kwanini isiwezekane kuondoa watu wote akabaki mmoja