Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Namkamua ng'ombe nakunywa maziwa na kidogo nampa paka na mbwa then naenda zangu kuwinda ndege nile na majirani zangu paka na mbwa then narudi kulala
 
Nitajiita Adam,

Nitasubiria Ubavu wangu ugawanywe atokee Hawa/Eva.

Nawaahidi, shetani hawezi kutudanganya tena. Hilo linyoka likija tena tutampasua na kumkimbizia mbali.

Hakutakuwa na uovu tena katika uso wa dunia.
We jamaa umesema kama m nilivyotaka sema,
Hiyo itakuwa MUNGU kanichagua mm kama Nuhu ili niijaze dunia kwa upya, hapo ni kama Adam, wanyama wapo kila kitu kipo, anasubiriwa tu eva, itabidi nikalale tena nikiamka operation toa eva ubavuni tayari life inaanza upya,
 
ntarud kulala coz ntajua nimesalimika na mushkheri wa kibiti na rufiji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Breki ya kwanza MAGOGONI.
NAINGIA NIKITAMBAAA.
YUKO WAPI ALIYEKUWA ANARINGIA IKULU.
ALAFU NACHEKA KWA DHARAU,
 
Nitasikitika sana... Nimechelewa wapi...

Alafu nitaanza kumtafuta mahondaw wangu... Tuanzishe bustani na Smart911 na mahondaw... Tutaijaza dunia upya...

Tutaweka amri na mafundisho yetu...


Cc: mahondaw
 
Hiyo inawezekana ktk ndoto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…