Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
- Thread starter
- #61
Hamna kitu kama hicho
we MUNGU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu kama hicho
Nani anacontrol dunia?
Mungu hayupo, ni usanii tu!MUNGU
Basi nasubiri nilale Mungu atoe ubavu wangu nipate msaidizi. Na kamwe sitakula tundu lolote hata papai ninalolijua. Tusije tukaharibu tena kama Adam na hawa
Mungu hayupo, ni usanii tu!
Vingapi hujapewa masharti na huvifanyiUTASEMAJE HULI WAKATI HUJAPEWA MASHARTI
Kwanza naingi ikulu nalala wiki kabla ya kula bata hoteli moja baada ya nyngine
Ntatembea uchi kariakoo mpk posta
Hapa natafuta lori naenda B.O.T kwanza, nkirudi mambo mengine yakisayansi yatafata kujua kwa nini nimebakia peke yangu!
Kweli kabisa mkuu hii ni sawa na Bashite kutoa/kuonesha vyeti vyakeHamna kitu kama hicho na haitakaa itokee..Labda ndotoni
Samahan naomba uongezee na kiburudsho hapo kwenye peke yangu..!
Nitahamia gafla pale ikulu magogoni
Whatever!Usanii wa bongo fleva au
Hyo ni ndoto
Nilichogundua wabongo ni wavivu wa kufikir.kwann useme haiwezekan wakat Dunia co yako wew.umu kuna wasomi na weny akil bt mnalazimisha haiwezekan.
Mkuu umeulz swal zuri san
True mkuuKweli kabisa mkuu hii ni sawa na Bashite kutoa/kuonesha vyeti vyake
Whatever!