Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Basi nasubiri nilale Mungu atoe ubavu wangu nipate msaidizi. Na kamwe sitakula tundu lolote hata papai ninalolijua. Tusije tukaharibu tena kama Adam na hawa

UTASEMAJE HULI WAKATI HUJAPEWA MASHARTI
 
Nilichogundua wabongo ni wavivu wa kufikir.kwann useme haiwezekan wakat Dunia co yako wew.umu kuna wasomi na weny akil bt mnalazimisha haiwezekan.
Mkuu umeulz swal zuri san
 
Nilichogundua wabongo ni wavivu wa kufikir.kwann useme haiwezekan wakat Dunia co yako wew.umu kuna wasomi na weny akil bt mnalazimisha haiwezekan.
Mkuu umeulz swal zuri san

Hata mimi nawashangaa mkuu wanang'ang'ania haiwezekani wakati matukio yanajieleza nasimulizi mbalimbali za kwenye kitabu, kwa mfano Mungu alivyoleta mvua siku 40 mfululizo na kuangamiza kizazi alivyomwagiza nuhu kujenga safina.. sasa kwanini isiwezekane kuondoa watu wote akabaki mmoja
 
Back
Top Bottom