Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

Jiulize kipofu anaota nn katiya video na audio
ACHANA NA MAISHA YA NDOTO ZA USIKU JOMBAA
 
Ukipatia kutoa jibu sahihi kwa swali hilo la Kizushi na wewe unajikuta upo katika hali hiyo ya upweke ghafla
 
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...

YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛

Nitachomoka home bila hata nguo si hamna watu!,kuna haja gani ya kuvaa nguo ila wanyama ndio watakuwa wanashangaa kiumbe gani hiki mkia wake uko mbele wakati mikia yetu ipo nyuma
 
Nitachomoka home bila hata nguo si hamna watu!,kuna haja gani ya kuvaa nguo ila wanyama ndio watakuwa wanashangaa kiumbe gani hiki mkia wake uko mbele wakati mikia yetu ipo nyuma

hahahahahaahhahahahahahahahhahahahhh
 
Back
Top Bottom