Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kabla hamjaondoka watu wote naomba mjongee pale TBL mnitengenezee bidhaaa za kutosha!..tafadhali sana mkuu!!..
😀😀😀😀😀😀 Balaa Limeingia Mjini ntafanyaje sasahahahah we jamaa mlevi
si uchizi huo sasa
.....Salama wakuu, mimi naomba kuwauliza SWALI, je, ikitokea siku moja umeamka ile unatoka nje HUKUTI MTU HATA MMOJA, UNAJARIBU KWENDA KATIKATI YA MJINI HUPISHANI NA MTU YEYOTE YULE.. HAKUNA KINACHOENDELEA, UPO WEWE TU NA WANYAMA KAMA NG'OMBE, MBWA, PAKA, NDEGE N.K...
YANI KIUFUPI UNAJIKUTA UKO WEWE TU HAKUNA WATU WENGINE DUNIANI LAKINI KILA KITU KIPO.. UTACHUKUA UAMUZI GANI?😎😎😛
Nitachomoka home bila hata nguo si hamna watu!,kuna haja gani ya kuvaa nguo ila wanyama ndio watakuwa wanashangaa kiumbe gani hiki mkia wake uko mbele wakati mikia yetu ipo nyuma
Naoa ng'ombe
Taratiibu naenda bank kuu