UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

hakuna aliyefaidika ila aliyetarajia kuwa maarufu lengo lake halijatimia na haliwezi kuja kutimia asilani kwani umaarufu ndiyo kwanza bado unazidi kuporomoka kwa speed ya roketi!

[HASHTAG]#2020njooharaka[/HASHTAG] chini ya [HASHTAG]#NEChuru[/HASHTAG]

Basi kama ni hivyo haina maana yoyote kama hakuna akiyefaidika, nilifikiri hizi furaha zenu zinakwenda sambamba na faida ya kupanda kwenu.
 
Umaarufu sio kwamba haupo..hata dr shika ni maarufu..sema KUKUBALIKA
 
Kumbe mnajua kachuja, kama pamoja na kuleta mapangaboy, dreamliner, kujenga sgr, kujenga flyovers lkn bado anaporomoka mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize kuna tatizo mahali, lkn kama hazimo kama mleta mada ataona ni jambo la kawaida tu.

Serikali huwa haiendeshwi kwa ujanja ujanja ina principles zake ukizikiuka utaonekana kituko mbele ya jamii inayojielewa.
 
Kumbe mnajua kachuja, kama pamoja na kuleta mapangaboy, dreamline, kujenga sgr, bado anaporomoka mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize kuna tatizo mahali, lkn kama hazimo kama mleta mada ataona ni jambo la kawaida tu.

Serikali huwa haiendeshwi kwa ujanja ujanja ina principal zake ukizikiuka utaonekana kituko mbele ya jamii inayojielewa.

Lkn ni lazima mwingine anufaike na ,,kuporomoka” kwa umaarufu wa Raisi wetu, sasa ni yupi huyo aliyefaidika na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
 
Basi kama ni hivyo haina maana yoyote kama hakuna akiyefaidika, nilifikiri hizi furaha zenu zinakwenda sambamba na faida ya kupanda kwenu.
yeah....for now.

[HASHTAG]#2020njooharaka[/HASHTAG] chini ya [HASHTAG]#nechuru[/HASHTAG]
 
Naona baadhi ya watu wanafurahia tafiti zinaonyesha kwamba umaarufu wa Raisi wetu ,,umeporomoka” silipingi hilo ila ningependa kujua nani kanufaika? Yaan kama umeporomoka kwa Raisi ni lazima umepanda kwa mwingine sasa ni yupi huyo na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
tulia dawa ipenye
 
Lkn ni lazima mwingine anufaike na ,,kuporomoka” kwa umaarufu wa Raisi wetu, sasa ni yupi huyo aliyefaidika na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
Hakuna aliyenufaika zaidi ya uchumi wa wananchi kuporomoka kama rais anavyoporomoka,

ukiwa na rais unpopular hasara yake kimataifa ni nchi kuwa unpopular.
 
Ili muwe na sababu ya kufurahia ni lazima pia mtuambie umepanda kwa nani vinginevyo hakuna maana yoyote!
unachekesha,kwani utafiti ulipofanyika 2016 Kuwa anakubalika kwa 96% alikuwa kashindanishwa na nan?
 
Hakuna aliyenufaika zaidi ya uchumi wa wananchi kuporomoka kama rais anavyoporomoka,

ukiwa na rais unpopular hasara yake kimataifa ni nchi kuwa unpopular.

Kama ni hivyo basi mtakuwa ni wajinga wa mwisho Dunia hii!
 
2016 twaweza waliposema anakubalikA kwa 96% MBNA nyie Lumumba mlishangilia kwani kipindi hicho alilinganishwa nA nani?
 
Walisema pia Upinzani walikubalika kwa kiasi gani na hizo tafiti zilipingwa sana na Upinzani.
mm nakumbuka walisem upinzani unaungwA mkono na wasomi, vijana na wenye elimu
ccm inaungwa mkono na wazee,wanawake,maskini nA wenye elimu finyu mm ndio nakumbka hivo
 
Aliyenufaika ni yeye Binafsi..Maana Amepata fursa ya kujitathmini ni Wapi anakosea..
Na hata Wale waliokua wakitukanwa ambao anasema Wamemuachia Mzigo Mzito kutokana na Kujaa hewa kila Kona,Wanao Washwawashwa Sasa ndiyo Washauri wake..
Hivyo Amenufaika.
 
Naona baadhi ya watu wanafurahia tafiti zinaonyesha kwamba umaarufu wa Raisi wetu ,,umeporomoka” sipingani na hizo tafiti kwani sielewi walivyofanya tafiti zao, ila ningependa kujua nani kanufaika? Yaani kama umeporomoka kwa Raisi ni lazima umepanda kwa mwingine sasa ni yupi huyo na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
Wananchi ndio tutakaoweza kunufaika,kama Rais atakuwa na hekima basi ataangalia kwanini imekuwa hivyo na atarekebisha kuendana na wananchi wanavyotaka!Hii ndio faida ya hizi tafiti,zinaonyesha uhalisia ili mabadiliko chanya yafanyike!
So sio lazima mtu fulani binafsi anufaike,tuache mahaba ya ajabu!
Uzi wako ni kama unasema kukubalia kwa rais kumeshuka ila "so what"! Mahaba yamekuzidi ndugu,kuwa realistic!
 
Naona baadhi ya watu wanafurahia tafiti zinaonyesha kwamba umaarufu wa Rais wetu umeporomoka.

Sipingani na hizo tafiti kwani sielewi walivyofanya tafiti zao, ila ningependa kujua nani kanufaika?

Yaani kama umeporomoka kwa Rais ni lazima umepanda kwa mwingine. Sasa ni yupi huyo na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
Alipokuwa na umaarufu 96% nani alifaidika?
 
Back
Top Bottom