UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016



Basi kama ni hivyo haina maana yoyote kama hakuna akiyefaidika, nilifikiri hizi furaha zenu zinakwenda sambamba na faida ya kupanda kwenu.
 
Umaarufu sio kwamba haupo..hata dr shika ni maarufu..sema KUKUBALIKA
 
Kumbe mnajua kachuja, kama pamoja na kuleta mapangaboy, dreamliner, kujenga sgr, kujenga flyovers lkn bado anaporomoka mtu mwenye akili timamu lazima ajiulize kuna tatizo mahali, lkn kama hazimo kama mleta mada ataona ni jambo la kawaida tu.

Serikali huwa haiendeshwi kwa ujanja ujanja ina principles zake ukizikiuka utaonekana kituko mbele ya jamii inayojielewa.
 


Lkn ni lazima mwingine anufaike na ,,kuporomoka” kwa umaarufu wa Raisi wetu, sasa ni yupi huyo aliyefaidika na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
 
Basi kama ni hivyo haina maana yoyote kama hakuna akiyefaidika, nilifikiri hizi furaha zenu zinakwenda sambamba na faida ya kupanda kwenu.
yeah....for now.

[HASHTAG]#2020njooharaka[/HASHTAG] chini ya [HASHTAG]#nechuru[/HASHTAG]
 
tulia dawa ipenye
 
Lkn ni lazima mwingine anufaike na ,,kuporomoka” kwa umaarufu wa Raisi wetu, sasa ni yupi huyo aliyefaidika na kwa kiasi gani umaarufu wake umepanda?
Hakuna aliyenufaika zaidi ya uchumi wa wananchi kuporomoka kama rais anavyoporomoka,

ukiwa na rais unpopular hasara yake kimataifa ni nchi kuwa unpopular.
 
Ili muwe na sababu ya kufurahia ni lazima pia mtuambie umepanda kwa nani vinginevyo hakuna maana yoyote!
unachekesha,kwani utafiti ulipofanyika 2016 Kuwa anakubalika kwa 96% alikuwa kashindanishwa na nan?
 
Hakuna aliyenufaika zaidi ya uchumi wa wananchi kuporomoka kama rais anavyoporomoka,

ukiwa na rais unpopular hasara yake kimataifa ni nchi kuwa unpopular.


Kama ni hivyo basi mtakuwa ni wajinga wa mwisho Dunia hii!
 
2016 twaweza waliposema anakubalikA kwa 96% MBNA nyie Lumumba mlishangilia kwani kipindi hicho alilinganishwa nA nani?
 
Walisema pia Upinzani walikubalika kwa kiasi gani na hizo tafiti zilipingwa sana na Upinzani.
mm nakumbuka walisem upinzani unaungwA mkono na wasomi, vijana na wenye elimu
ccm inaungwa mkono na wazee,wanawake,maskini nA wenye elimu finyu mm ndio nakumbka hivo
 
Aliyenufaika ni yeye Binafsi..Maana Amepata fursa ya kujitathmini ni Wapi anakosea..
Na hata Wale waliokua wakitukanwa ambao anasema Wamemuachia Mzigo Mzito kutokana na Kujaa hewa kila Kona,Wanao Washwawashwa Sasa ndiyo Washauri wake..
Hivyo Amenufaika.
 
Wananchi ndio tutakaoweza kunufaika,kama Rais atakuwa na hekima basi ataangalia kwanini imekuwa hivyo na atarekebisha kuendana na wananchi wanavyotaka!Hii ndio faida ya hizi tafiti,zinaonyesha uhalisia ili mabadiliko chanya yafanyike!
So sio lazima mtu fulani binafsi anufaike,tuache mahaba ya ajabu!
Uzi wako ni kama unasema kukubalia kwa rais kumeshuka ila "so what"! Mahaba yamekuzidi ndugu,kuwa realistic!
 
Alipokuwa na umaarufu 96% nani alifaidika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…