tukiachana na madhaifu mengi wanaume walio nayo ya kuonekana nadhifu kwa mavazi ila wengi wao wakioga huwa wanajipaka tuu mafuta usoni na mikononi na miguuni tuu huku unaweza toka na mwanaume mkiwa faragha wakati wa kupapasana ukakuta mwili mgum kama ngozi ya mamba mwanamke huenjoy aukutapo mwili wa mwanaume ukiwa nadhifu huku ukimpapasa kwa mikono ikawa inateleza maridadi kabisa wanaume wengine utakuta kwenye makalio yamepaukaa hii inadhihirisha ni jinsi gani hawajipaki mafuta pindi watokapo kuoga...
Wanawake tunavumilia mengi kwa uchafu wa baadhi ya wanaume jamani hasa wale ambao wananuka midomo au wale wakivua soksi hata kama kuna mmbu wote wanakufa jamani tuacheni tuu wanawake tuwachune tuu ela maana tunavumilia mengiiiiiiiiiiiii...........