UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
hIYO activity ni ya sampuli ya watu kama james delicious..kwanza me nilipake mafuta ili iweje???....
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Acha upuuzi umhujaona vitu vya kuongelea ???
 
Kidume naanzaje kupaka mafuta kwenye kalio.!!!
Na wewe adi kwenye TAKO la mpenzio unatafuta nn.
 
TAKO la mwanaume lazima liwe gumu na manyoya yakushato.

kwa kifupi liwe na sura mbaya ata ikatokea umetekwa watekaji hawawezi kukufanyia michezo ya ajabu.
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
Mwanaume unaanzaje kupaka matako mafuta?na wewe mwanamke mpaka uje unishike tako ntakuwa wapi?mambo mengine ni ya kichoko tuu.
 
Ila wanaume mnadanganyana sana. Mkishalewa papuchi na vijibao vya mapenzi tunapiga kwenye wowowo lakini hapa kila mtu “mwanamke anishike t*ko mimi ng’eng’eng’eng’e”
 
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.

Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?

Naomba niwape multiple choices

a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
99% hawapaki mafuta...,99% wewe ni umeliwa na unaliwa wanaume wengi.
 
Wewe unafika mpaka Kwa matako ya mwanaume unatafuta Nini

Aki ya nani unachokitafuta utakipata soon
 
Back
Top Bottom