Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijawahi paka mafuta kabisa.Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?
Naomba niwape multiple choices
a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijawahi paka mafuta kabisa.
Mwanaume kupaka mafuta makalioni ni dalili za USHOGA
Sent using Sukhoi Su-57
HahaaaHuu utafiti umeufanya wewe mwenyewe?
Naomba kuwa kwenye sample pia!
Hahaahapo jibu ni c kwani kuna umuhimu gani kupakwa mafuta wakati kazi yake ni kukaa tu
Hahaa huu uzi daahHuo unga ndo uanaume wenyewe..sasa dume zima uteleze makalio si maajabu haya
Hahaa Mshana Jr ... wewe ndio umeyataka haya ...baada ya kufukua hili kaburi ..nitacheka sana leoMkuu eti imagine mwanaume ulainishe kalio!!?
Kwahiyo wanakuachia uwachome sindano na wanakuacha pia uwakune !? MhhMimi ni nesi mkuu. Ni katika kuwachoma sindano tu.
HahaaaHata minara mafuta ya nazi ya 1500. Sio boxer inaenda kufuliwa ina magamba
HahaaaSo ata Babako mzazi matak.o yake yanatoa unga???naomba jibu maana lazima atakua miongoni mwa hao 99% tu lazima.