kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,975
- 2,370
Awatafute akina kaoge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndioo.Yaaani mwanaume mzima umalize baby care kupaka Kalio? Dah
tukiachana na madhaifu mengi wanaume walio nayo ya kuonekana nadhifu kwa mavazi ila wengi wao wakioga huwa wanajipaka tuu mafuta usoni na mikononi na miguuni tuu huku unaweza toka na mwanaume mkiwa faragha wakati wa kupapasana ukakuta mwili mgum kama ngozi ya mamba mwanamke huenjoy aukutapo mwili wa mwanaume ukiwa nadhifu huku ukimpapasa kwa mikono ikawa inateleza maridadi kabisa wanaume wengine utakuta kwenye makalio yamepaukaa hii inadhihirisha ni jinsi gani hawajipaki mafuta pindi watokapo kuoga...
Wanawake tunavumilia mengi kwa uchafu wa baadhi ya wanaume jamani hasa wale ambao wananuka midomo au wale wakivua soksi hata kama kuna mmbu wote wanakufa jamani tuacheni tuu wanawake tuwachune tuu ela maana tunavumilia mengiiiiiiiiiiiii...........
Huyu mleta hoja akapimwe tu marinda kwa mkemia.Hamna jinsiYaaani mwanaume mzima umalize baby care kupaka Kalio? Dah
Kaoge akikamatwa na Polisi anawekwa mahabusu IPI?Awatafute akina kaoge