Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mwanaume ugumu ndio sifa yetu..nipakae mafuta huko nataka kugundua nini labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nguo mmevaa wawili humo ndani?
Sio kweli, tumuulize Harmorapper tuhakikishe..!!tukiachana na madhaifu mengi wanaume walio nayo ya kuonekana nadhifu kwa mavazi ila wengi wao wakioga huwa wanajipaka tuu mafuta usoni na mikononi na miguuni tuu huku unaweza toka na mwanaume mkiwa faragha wakati wa kupapasana ukakuta mwili mgum kama ngozi ya mamba mwanamke huenjoy aukutapo mwili wa mwanaume ukiwa nadhifu huku ukimpapasa kwa mikono ikawa inateleza maridadi kabisa wanaume wengine utakuta kwenye makalio yamepaukaa hii inadhihirisha ni jinsi gani hawajipaki mafuta pindi watokapo kuoga...
Wanawake tunavumilia mengi kwa uchafu wa baadhi ya wanaume jamani hasa wale ambao wananuka midomo au wale wakivua soksi hata kama kuna mmbu wote wanakufa jamani tuacheni tuu wanawake tuwachune tuu ela maana tunavumilia mengiiiiiiiiiiiii...........
Mama unatisha!!!tukiachana na madhaifu mengi wanaume walio nayo ya kuonekana nadhifu kwa mavazi ila wengi wao wakioga huwa wanajipaka tuu mafuta usoni na mikononi na miguuni tuu huku unaweza toka na mwanaume mkiwa faragha wakati wa kupapasana ukakuta mwili mgum kama ngozi ya mamba mwanamke huenjoy aukutapo mwili wa mwanaume ukiwa nadhifu huku ukimpapasa kwa mikono ikawa inateleza maridadi kabisa wanaume wengine utakuta kwenye makalio yamepaukaa hii inadhihirisha ni jinsi gani hawajipaki mafuta pindi watokapo kuoga...
Wanawake tunavumilia mengi kwa uchafu wa baadhi ya wanaume jamani hasa wale ambao wananuka midomo au wale wakivua soksi hata kama kuna mmbu wote wanakufa jamani tuacheni tuu wanawake tuwachune tuu ela maana tunavumilia mengiiiiiiiiiiiii...........
Nimefungua harakaharaka huu uzi nilipoona neno 'makalio' nikajua mada itawahusu KE.tukiachana na madhaifu mengi wanaume walio nayo ya kuonekana nadhifu kwa mavazi ila wengi wao wakioga huwa wanajipaka tuu mafuta usoni na mikononi na miguuni tuu huku unaweza toka na mwanaume mkiwa faragha wakati wa kupapasana ukakuta mwili mgum kama ngozi ya mamba mwanamke huenjoy aukutapo mwili wa mwanaume ukiwa nadhifu huku ukimpapasa kwa mikono ikawa inateleza maridadi kabisa wanaume wengine utakuta kwenye makalio yamepaukaa hii inadhihirisha ni jinsi gani hawajipaki mafuta pindi watokapo kuoga...
Wanawake tunavumilia mengi kwa uchafu wa baadhi ya wanaume jamani hasa wale ambao wananuka midomo au wale wakivua soksi hata kama kuna mmbu wote wanakufa jamani tuacheni tuu wanawake tuwachune tuu ela maana tunavumilia mengiiiiiiiiiiiii...........
Halafu hajatupa mrejesho kama amefanikiwa au laaKuelewa uzi huu wa mleta mada inabidi kwanza usome uzi wake wa mwishoni mwa mwaka jana 2016
Kuna penzi natamani kumpa mume wangu ila nasita
Halafu hajatupa mrejesho kama amefanikiwa au laa