Utafiti: Asilimia 90 ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Salamu

Nmekua nikifanya utafiti na nikagundua asilimia kubwa ya watanzania upata choo kikubwa kila baada ya siku 3 na hii sio ishara nzuri hasa katika upande wa lishe na afya kwa ujumla.

Mtu anaekula mlo kamili yani protin, wanga , mafuta, maji na vyakula vya nyuz nyuz lazma apate choo kila sku lakn hii hali ni tofaut kwa watanzania wengi

Na wakipata choo katika hizo siku 3, aisee ndani akukaliki hiyo halafu yake kama kafa paka, nyumba nzima itanuka na watu wenywe roho ndogo watatoka nje kupata hewa saf

Na kama unaishi kwa shemej bas watoto wake watasema mjomba yupo chooni.

Tujitahidi angalau kunywa maji mengi ili tupate choo walau mara moja kwa siku ili tutunze afya zetu

Nawasilisha
 
Hii ni kweli kabsa, nikiwa mkoani kila siku lazima nipate choo kikubwa tena heavy na laini.. ila Sasa nikiwa Dar es Salaam napata choo kikubwa kila baada ya siku mbili au Moja, na choo chenyewe Kigumu na kidogo mno.

Honestly vyakula vya Dar vinaua Kinga ya mawili, ni Mungu tu anatulinda.
 
Samia na Rostam azizi na kikwete ndiyo sababu za watanganyika kunya 👉💩 mara 1 kwa siku 3 na kama hawa washenzi wakiachwa hai hadi 2028 basi watanganyika watakunya mara 1 tu kwa siku 4
 
Hii ni kweli kabsa, nikiwa mkoani kila siku lazima nipate choo kikubwa tena heavy na laini.. ila Sasa nikiwa Dar es Salaam napata choo kikubwa kila baada ya siku mbili au Moja, na choo chenyewe Kigumu na kidogo mno.

Honestly vyakula vya Dar vinaua Kinga ya mawili, ni Mungu tu anatulinda.
Dar uko wengne wanavusha wiki bila kunya
 
Unajipima kwa niaba yetu, nani kakupa uhalali.?

Tena Dogo punguza kijiti, kwa uzoefu nilionao wala kijiti wengi wana kesi nyingi zinazofanana na hizi
 
Huu utafit na wa kwel najua hapa wengi mtapinga lakn ukwel mnao moyon
 
Back
Top Bottom